Vipengele Vya Mfumo Wetu
Huduma zote unazohitaji kwa biashara yako ya kilimo
Usajili wa Mkulima
Jisajili na upate profile yako ya biashara kupitia Afisa Wakala wa Wilaya yako.
Bei za Soko
Pata bei halisi za mazao sokoni na uuze moja kwa moja kwa wanunuzi.
Usafirishaji na Bima
Mfumo wa uhakiki wa awamu na bima ya hiari ya mizigo.
Malipo Salama
Pokea pesa yako moja kwa moja kwenye simu yako baada ya uhakiki.